Jumapili, 12 Februari 2017

Mahubiri ya Gwanjima Leo jumapili

Fatilia mahubiri mojakwamoja  ya mchungaji  Gwanjima  baada ya kutoka cell

https://m.youtube.com/watch?v=nnCJlgpph24&feature=youtu.be
   Link nimekusogezea Mtu wangu wa nguvu

Jumamosi, 11 Februari 2017

Magazeti Leo feb12

Mtu wangu wanguvu
Ugali gani!?
Leo jumapili tar 2 Feb 2017 nakudondoshea Magazeti  ili upate kuijua habari Zilizo make headlines KwA siku ya leo
   Faraja Namimi 
Napenda unacho fanya

Post ya gwanjima. Mara baada ya kuachiliwa na polisi

Siku chache zilizopita mch Gwanjima akitokea kwenye list ya Watu 65 ya watuhumia WA skendo ya unga.
    
   Mch alijisalimisha mwenyewe kituoni kabla ya ijumaa iliyopita.
      Jana jioni katoka polisi kapost  maneno 😂 haya.

Jumanne, 7 Februari 2017

Leo Dodoma

Wabunge waupinzani wataka bungeni  Mara baada ya kutotidhishwa na maamuzi ya naaibu  spika Tulia