Jumatano, 23 Septemba 2015

Magufuli ajipiga Doxo

Mgombea uraisi wa tiketi ya ccm h john pombe magufuli ameonekana akijipiga doso mwenyewe katika kampeni sake
  
  "Napiga HV ilikuwaonesha watanzqnia kuwa Nina nguvu"
    Hee  kwani sis I wananchi 2nataka kiongozi waku2bebea magunia??
      Uongozi no husara na hekima
Kama ulikosa hekima pale kigamboni na ukawasusa wananchi iweje Leo?
Ikiwa wanakigamboni uliwashindwa ukajaa nyembe nakuwaambia waogelee
Wawezaje kuongoza nchii
Sindo utajaa nyembe name kutuambia tukishindwa kulipa nauli ya Sumatra tutembee kwa miguu!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni