Jumatano, 21 Oktoba 2015

CCM sagareeeeeee!!!!!!!

Greenish Madera system Na kusombwa kwa malory ndo wanacho fanya

Pamoja Na mfumo was fiestaaa kutumika umeonekana haulipi. Coz wa2 waliacha kuwa wanaenda mikutanoni
Lakini watu Hawaii wakagundua mfumo mpya wa Greenish Madera system (GMS) & MALORY PLUS    Inebainika kwa system mpya ya wana mama kuvaa madera yakijani Na kusombwa Na malory ndo mfumo unaoonekana kutumiwa Na ccm
      Mikutano yao inaonekana Ina jaza mafuriko ya watu kumbe wanasombwa Na Malory kutoka bush nakuletwa kwa team M
     Chakushangaza baada ya mkutano wanatelekezwa
     Chakujiuliza wamama mnao watelekeza kweli watakua Na moto wakuwapakura?
    Hiiii imethibitika Na kushuhudiwa Na mwandishi wetu gamma rays
Katika uwanja wa wenje mnadani Sengerema
    Hiii ni pale alipokuja team M magufuli.
      
   
          Ccm wanajiroga wenyewe

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni